Gasoline generator (TIGER)

JE? unahitaji generator  ,karibu doublehappines electronics ,zinapatikana generator za aina tofaut tofaut kama vile KING MAX ,TINGER,BOS,OMAX  _etc zipo kwa ukubwa tofauti tofaut ,tunauza bei na fuu sana ,utakapo nunua utapatie maelezo namana ya kutumia,na hata namana ya kuifanyia servece inapoa pata hitlafu .karibun sana.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KULIPIA DSTV (Follow these simple steps to pay or top up your account)

SEA PIANO SUBWOOFER

Tumia azam decoder kwa tv zaid ya moja