Follow these simple steps to pay or top up your account: Dial *120*321# and select the green/dial button on your cellphone. You will receive a Welcome to Cellphone Banking message. ... Key in your 5-digit Cellphone Banking PIN selected at registration. ... Choose 'Prepaid'. Choose 'PayTV'. How to Pay DStv via Mpesa Access your vodacom menu, then select M-PESA. Choose Lipa na M-PESA, then Pay Bill. Enter the DSTV Mpesa Pay bill number, 444900. Enter your DSTV account number (not the smart card number) Next, enter the amount to pay. M-PESA asks you for your M-Pesa PIN. How to Pay DStv via Tigo pesa Dial *150*01 on your mobile to access the Tigo Pesa menu. Select the option for Payments (4) Select the option for Pay DStv (1) Enter your smartcard number. Enter the amount you wish to pay. Confirm your transaction with your PIN. How to pay GoTv bill via Airtel Money Select Airtel Money on your menu. Select Make Payments. Select...
SUBWOOFER MPYAAA AINA YA SEA PIANO SP_513 SP_661 SP_8800 SP-1002,zina redio ya fm,sehemu ya memory card na sehemu ya flash disk.Subwoofer hizi ni kubwa na zina mdundo wa ukweli.BEI NI NAFUU SANA Kwa anayetaka nipigie 0719668134 au 0713 014223
KING'AMUZI CHA AZAM TV KINAWEZA KUGAWA PICHA TV ZAIDI YA MOJA !? Leo utapata jibu sahihi la swali hili:- Jibu la swali hili linaweza likawa NDIO inawezekana king’amuzi cha Azam tv kugawa picha kwenye tv nyengine ( tv zaidi ya moja ). NJIA ZA KUTUMIA 1.Kutumia HDMI na AV cable. HDMI Cable AV Cable King’amuzi cha Azam ni HD hivyo kina uwezo wa kutumia cable ya AV na ya HDMI kwa wakati mmoja ila njia hii inakulazimu kuwe na ukaribu kati ya kinapokaa king’amuzi na zinapokaa tv kwakuwa AV cable ikisafiri umbali mrefu hupoteza ubora wa picha na hata sauti,alkadharika kwa upande wa HDMI cable yenyewe ni nadra sana kupata zenye urefu wa zaidi ya mt 50 pia ni expensive kununua.Njia hii pia inauwezo wa kugawa tv kwa idadi uitakayo kwakuwa kuna kifaa cha kugawa ikiwa utatumia HDMI ama AV cable,ukitumia HDMI cable unatumia HDMI SPLITTER na ukitumia AV cable unatumia AV SPLITTER . 2.Kutumia RF MODULATOR/ RF CONVERTOR SWITCH King’amuzi cha A...
Comments