HABARI NJEMA HABARI NJEMA!!!!!! (DSTV)

HABARI NJEMA HABARI NJEMA!!!!!!
Multichoice Tanzania tunawaletea wateja wetu mabadiliko makubwa kwenye VIFURUSHI vyetu DStv.
Ni punguzo kubwa katika Bei za vifurushi vyetu,litakaloanza Rasmi Tarehe 1 Septemba,na mabadiliko hayo yatakua kama ifwatavyo:
1.Premium kutoka 184000 mpaka 169000/= tu!
2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109000/= tu!
3.Compact kutoka 82,500/= mpaka 69,000/= tu!
4. Family kutoka 42,900/= mpaka 39,000/= tu!
5.Bomba kutoka 19,975/= mpaka 19,000/= tu!
Tumewasikiliza, Tunawajali !!!!

Comments

Popular posts from this blog

AZAM TV NYONGEZA YA VIFURUSHI 1/9/2017

Tumia azam decoder kwa tv zaid ya moja

DSTV ERROR CODE AND SOLUTION