vifurush vya Xtraview
Kwa nini ugombanie Remote wakati kuna Xtraview?
Ndio Xtraview inakupa uwezo wa kuunganisha Dekoda mbili(ambazo zinaweza kukaa umbali wa mita 100) , ndani ya akaunti moja na kifurushi kimoja kwa malipo ya sh.26500/=tu.
Yaani:
Bomba 19000 + Xtraview 26500/= ......45500/=
Family 39000 + Xtraview 26500/= kwa sh.....65500/=
Compact 69000 + Xtraview 26500/=..............95500/=
Compact Plus 109000 + Xtraview 26500/=.................135500/=
Premium 169000 + Xtraview 26500.......195500/=
Tembelea wakala alie karibu nae kujiunga sasa,au wasiliana nasi kupitia namba 0768988800, 0784104700 na +255222199600.
#Vyumavimeachia
#Teachtuesdaywithdstv
Comments