Je unapata moja kati ya matitizo haya kwenye king'amuzi chako
Je unapata moja kati ya matitizo haya kwenye king'amuzi chako
1.Tatizo la sauti
2.Picha kuganda
3.E-16 mara kwa mara
4.E 37(Kukosa baadhi ya chaneli)
Fahamu namna ya kurudisha Ki'ngamuzi chako kwenye mfumo wake wa Awali!
Kwa Zapaa na Explora
• Bonyeza kitufe cha bluu "DStv"
• Chagua "Setting"
•Chagua"System settings
• Kisha chagua "Reset Decoder Settings"
• Kisha "Reset to factory default"
• Bonyeza "OK"
•Subiri wakati inafanya taratibu za kurudisha kin'gamuzi kwenye mfumo wa awali
Kwa DSD(11 Series)
• Bonyeza "MENU"
• Chagua "Information Central"
• Bonyeza 8 (to reset all Factory Settings)
• Bonyeza "OK"
•Subiri wakati inafanya taratibu za kurudisha kin'gamuzi kwenye mfumo wa awali
• Kin'gamuzi kitarudi kwenye namba 100 baada ya kumaliza
Muhimu:Ikiwa unatumia ki'ngamuzi cha Explora epuka kuchagua "Format" Kwani itafuta vitu vyote vilivyohifadhiwa awali.
Ikiwa bado hujapata huduma usisite kuwasiliana na huduma kwa wateja kwa msaada zaidi.
#Teachtuesdaywithdstv
#20yearsofawesomeness
Comments