Posts

Showing posts from August, 2017

AZAM TV NYONGEZA YA VIFURUSHI 1/9/2017

Image
Wadau, zile ofa zilizodumu kwa muda sasa zinaelekea ukingoni leo hii. Kuanzia kesho tarehe 1/9/17 kifurushi cha Azam Pure cha 15,000 kitakuwa 18,000 kwa mwezi. Kuhakikisha hupitwi na burudani, kifurushi kipya Azam Lite pia kitaanza kwa 15,000 kwa mwezi au unaweza lipia 5,000 kwa wiki bila chaneli za Azam Sports 2 na Azam Sports HD. Kumbuka OFA ya 15,000 kupata chaneli za 23,000 bado ipo leo, lipia na utapata chaneli za 23,000 mpaka mwisho wa mwezi wa tisa. Vile vile, umbuka k ama ulishalipa 15,000 kwa ajili ya Azam Pure, kifurushi kitaendelea mpaka kiishe ndio ulipie bei mpya. Kama ulishalipa kabla ya tarehe 1/9/17, unaweza kuangalia salio lililobaki kw a kupiga *150*50*5#

HABARI NJEMA HABARI NJEMA!!!!!! (DSTV)

Image
HABARI NJEMA HABARI NJEMA!!!!!! Multichoice Tanzania tunawaletea wateja wetu mabadiliko makubwa kwenye VIFURUSHI vyetu DStv. Ni punguzo kubwa katika Bei za vifurushi vyetu,litakaloanza Rasmi Tarehe 1 Septemba,na mabadiliko hayo yatakua kama ifwatavyo: 1.Premium kutoka 184000 mpaka 169000/= tu! 2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109000/= tu! 3.Compact kutoka 82,500/= mpaka 69,000/= tu! 4. Family kutoka 42,900/= mpaka 39,000/= tu! 5.Bomba kutoka 19,975/= mpaka 19,000/= tu! Tumewasikiliza, Tunawajali !!!!