WAKALA WA DSTV


  • KULIPIA
  • KUUNZA 
  • MAELEKIZO NAMNA YA KUTUMIA
  • KUFUNGUA KINGAMUZ KIPYA
  • HUDUMA ZA KIUFUNDI KWA WATEA WAPYA NA WAZAMANI

BEI MPYA ZA VIFURUSH VYADSTV 1/9/2017

 ABARI NJEMA HABARI NJEMA!!!!!!
Multichoice Tanzania tunawaletea wateja wetu mabadiliko makubwa kwenye VIFURUSHI vyetu DStv.
Ni punguzo kubwa katika Bei za vifurushi vyetu,litakaloanza Rasmi Tarehe 1 Septemba,na mabadiliko hayo yatakua kama ifwatavyo:
1.Premium kutoka 184000 mpaka 169000/= tu!
2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109000/= tu!
3.Compact kutoka 82,500/= mpaka 69,000/= tu!
4. Family kutoka 42,900/= mpaka 39,000/= tu!
5.Bomba kutoka 19,975/= mpaka 19,000/= tu!
Tumewasikiliza, Tunawajali !!!!

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KULIPIA DSTV (Follow these simple steps to pay or top up your account)

SEA PIANO SUBWOOFER

Tumia azam decoder kwa tv zaid ya moja