WAKALA WA AZAM TV
TUNATOA HUDUMA ZA AZAM TV
- kulipia
- maelekezo namana ya kutumia kwa awateja wapya na wazamani
- huduma za kiufundi ya instalition kwa kingamuz kipya na cha zamani
- kuunza
- kufungua kingamuzi kipya pale tu unaponunua
NYONGEZA ZA VIFURUSH
Wadau, zile ofa zilizodumu kwa muda sasa zinaelekea ukingoni leo hii. Kuanzia kesho tarehe 1/9/17 kifurushi cha Azam Pure cha 15,000 kitakuwa 18,000 kwa mwezi. Kuhakikisha hupitwi na burudani, kifurushi kipya Azam Lite pia kitaanza kwa 15,000 kwa mwezi au unaweza lipia 5,000 kwa wiki bila chaneli za Azam Sports 2 na Azam Sports HD.
Kumbuka OFA ya 15,000 kupata chaneli za 23,000 bado ipo leo, lipia na utapata chaneli za 23,000 mpaka mwisho wa mwezi wa tisa.
Vile vile, umbuka kama ulishalipa 15,000 kwa ajili ya Azam Pure, kifurushi kitaendelea mpaka kiishe ndio ulipie bei mpya.
Kama ulishalipa kabla ya tarehe 1/9/17, unaweza kuangalia salio lililobaki kwa kupiga *150*50*5#
Comments