Je unapata moja kati ya matitizo haya kwenye king'amuzi chako
Je unapata moja kati ya matitizo haya kwenye king'amuzi chako 1.Tatizo la sauti 2.Picha kuganda 3.E-16 mara kwa mara 4.E 37(Kukosa baadhi ya chaneli) Fahamu namna ya kurudisha Ki'ngamuzi chako kwenye mfumo wake wa Awali! Kwa Zapaa na Explora • Bonyeza kitufe cha bluu "DStv" • Chagua "Setting" •Chagua"System settings • Kisha chagua "Reset Decoder Settings" • Kisha "Reset to factory default" • Bonyeza "OK" •Subiri wakati inafanya taratibu za kurudisha kin'gamuzi kwenye mfumo wa awali Kwa DSD(11 Series) • Bonyeza "MENU" • Chagua "Information Central" • Bonyeza 8 (to reset all Factory Settings) • Bonyeza "OK" •Subiri wakati inafanya taratibu za kurudisha kin'gamuzi kwenye mfumo wa awali • Kin'gamuzi kitarudi kwenye namba 100 baada ya kumaliza Muhimu:Ikiwa unatumia ki'ngamuzi cha Explora epuka kuchagua "Format" Kwani itafuta vitu vyote vilivyohifa...