Posts

Je unapata moja kati ya matitizo haya kwenye king'amuzi chako

Image
Je unapata moja kati ya matitizo haya kwenye king'amuzi chako 1.Tatizo la sauti 2.Picha kuganda 3.E-16 mara kwa mara 4.E 37(Kukosa baadhi ya chaneli) Fahamu namna ya kurudisha Ki'ngamuzi chako kwenye mfumo wake wa Awali! Kwa Zapaa na Explora • Bonyeza  kitufe cha bluu "DStv" • Chagua "Setting" •Chagua"System settings • Kisha chagua  "Reset Decoder Settings" • Kisha  "Reset to factory default" • Bonyeza  "OK" •Subiri wakati inafanya taratibu za kurudisha kin'gamuzi kwenye mfumo wa awali Kwa DSD(11 Series) • Bonyeza "MENU" • Chagua "Information Central" • Bonyeza  8 (to reset all Factory Settings) • Bonyeza  "OK" •Subiri wakati inafanya taratibu za kurudisha kin'gamuzi kwenye mfumo wa awali • Kin'gamuzi kitarudi kwenye namba 100 baada ya kumaliza Muhimu:Ikiwa unatumia ki'ngamuzi cha Explora epuka kuchagua "Format" Kwani itafuta vitu vyote vilivyohifa

vifurush vya Xtraview

Image
Kwa nini ugombanie Remote wakati kuna Xtraview? Ndio Xtraview inakupa uwezo wa kuunganisha Dekoda mbili(ambazo zinaweza kukaa umbali wa mita 100) , ndani ya akaunti moja na kifurushi kimoja kwa malipo ya sh.26500/=tu. Yaani: Bomba 19000 + Xtraview 26500/= ......45500/= Family 39000 + Xtraview 26500/= kwa sh.....65500/= Compact 69000 + Xtraview 26500/=..............95500/= Compact Plus 109000 + Xtraview 26500/=.................135500/= Premium 169000 + Xtraview 26500.......195500/= Tembelea wakala alie karibu nae kujiunga sasa,au wasiliana nasi kupitia namba 0768988800, 0784104700 na +255222199600. #Vyumavimeachia #Teachtuesdaywithdstv

AZAM TV NYONGEZA YA VIFURUSHI 1/9/2017

Image
Wadau, zile ofa zilizodumu kwa muda sasa zinaelekea ukingoni leo hii. Kuanzia kesho tarehe 1/9/17 kifurushi cha Azam Pure cha 15,000 kitakuwa 18,000 kwa mwezi. Kuhakikisha hupitwi na burudani, kifurushi kipya Azam Lite pia kitaanza kwa 15,000 kwa mwezi au unaweza lipia 5,000 kwa wiki bila chaneli za Azam Sports 2 na Azam Sports HD. Kumbuka OFA ya 15,000 kupata chaneli za 23,000 bado ipo leo, lipia na utapata chaneli za 23,000 mpaka mwisho wa mwezi wa tisa. Vile vile, umbuka k ama ulishalipa 15,000 kwa ajili ya Azam Pure, kifurushi kitaendelea mpaka kiishe ndio ulipie bei mpya. Kama ulishalipa kabla ya tarehe 1/9/17, unaweza kuangalia salio lililobaki kw a kupiga *150*50*5#

HABARI NJEMA HABARI NJEMA!!!!!! (DSTV)

Image
HABARI NJEMA HABARI NJEMA!!!!!! Multichoice Tanzania tunawaletea wateja wetu mabadiliko makubwa kwenye VIFURUSHI vyetu DStv. Ni punguzo kubwa katika Bei za vifurushi vyetu,litakaloanza Rasmi Tarehe 1 Septemba,na mabadiliko hayo yatakua kama ifwatavyo: 1.Premium kutoka 184000 mpaka 169000/= tu! 2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109000/= tu! 3.Compact kutoka 82,500/= mpaka 69,000/= tu! 4. Family kutoka 42,900/= mpaka 39,000/= tu! 5.Bomba kutoka 19,975/= mpaka 19,000/= tu! Tumewasikiliza, Tunawajali !!!!

How do solar panels work?

Image
How do solar panels work? At its most basic, solar panels consist of an array of photovoltaic cells that convert sunlight into electricity by a process known as the photovoltaic effect. Photovoltaic or PV cells consist of at least two semi-conductive materials, such as silicon, one of which has a positive charge while the other is negative. When exposed to sunlight some of the photons are absorbed by the negative semiconductor atoms (at the bottom), which in turn free electrons to flow (if connected to an electrical load) back to the positive semiconductor (at the top). This flow of electrons is called direct current (DC). The individual solar cells are then connected in series strings to build voltage; the strings are connected in parallel to build current. They are then sealed or laminated and placed in a rigid frame. This makes up a photovoltaic (PV) module. These solar modules or panels are available in various sizes, power outputs, and materials. Using the right conversion

DSTV ERROR CODE AND SOLUTION

DSTV error codes Most DSTV users at a certain point face some problems with their decoder or smartcard. In those cases, users receive a certain error code on their screen. The purpose of the error codes is to point users in the direction of the problem and help them solve it. In that case it's useful to have a full list of error codes and their meanings, so you can try and fix the problem.  We compiled the list of DSTV error codes and instructions on how to fix them from different online sources - DSTV web site, DSTV forums and experiences of DSTV users from other forums. In case you have useful information on any of the error codes and repair methods, please let us know: E04 – Please insert smartcard  - Your smartcard might have been inserted in the wrong slot or might have been inserted incorrectly.  SOLUTION:  Switch off the decoder, remove the smartcard, wipe it gently with a dry cloth and re-insert with the chip facing down and the arrow facing the decoder. If the error co

Tumia azam decoder kwa tv zaid ya moja

Image
KING'AMUZI CHA AZAM TV KINAWEZA KUGAWA PICHA TV ZAIDI YA MOJA !? Leo utapata jibu sahihi la swali hili:- Jibu la swali hili linaweza likawa NDIO inawezekana king’amuzi cha Azam tv kugawa picha kwenye tv nyengine ( tv zaidi ya moja ). NJIA ZA KUTUMIA 1.Kutumia HDMI na AV cable. HDMI Cable AV Cable King’amuzi cha Azam ni HD hivyo kina uwezo wa kutumia cable ya AV na ya HDMI kwa wakati mmoja ila njia hii  inakulazimu kuwe na ukaribu kati ya kinapokaa king’amuzi na zinapokaa tv kwakuwa AV cable ikisafiri umbali mrefu hupoteza ubora wa picha na hata sauti,alkadharika kwa upande wa HDMI cable yenyewe ni nadra sana kupata zenye urefu wa zaidi ya mt 50 pia ni expensive kununua.Njia hii pia inauwezo wa kugawa tv kwa idadi uitakayo kwakuwa kuna kifaa cha kugawa ikiwa utatumia HDMI ama AV cable,ukitumia HDMI cable unatumia HDMI SPLITTER  na ukitumia AV cable unatumia AV SPLITTER . 2.Kutumia RF MODULATOR/ RF CONVERTOR SWITCH King’amuzi cha Azam tv hakina RF OUT ( RF OUT